Oven Baked Plantains With Cheese


Well I love plantains a lot; here, I am sharing the way I normally prepare them. I always pick the half ripe plantains as they have the best test and they turn out great when baked in oven. You can Grill them on charcoal fire and have the same results but on this I used oven.

Portion For 1

Ingredients 

  • 2 half ripe plantains
  • Salt to taste
  • 1 table spoon salt
  • 1 hand coriander leaves 
  • Chili to taste ( Optional) 
  • Mozzarella Cheese

Instructions

  1. Preheat your oven to 160°C
  2. Peel the plantains and put them in the oven for 10 to 15 minutes ( time will vary due to size of the bananas)
  3. While they baking its time to prepare a small to eat with salad. Chop the coriander leaves, then in a small bowl add those chopped coriander, olive oil, chili and salt; mix will and put aside.
  4. If the plantains are ready take them out of the oven, cut them half open and add some mozzarella cheese in between. Put them back in the oven for the cheese to melt.
  5. After that they ready to be enjoyed with the salad you made.
ENJOY 


NDIZI MZUZU ZA KUCHOMA NA JIBINI ( CHEESE)* 

Hili nipishi lingine dogo ila tamu na najua hapa kwetu Tanzania hatujazoea sana. Mimi huwa napenda sana kuchoma ndizi mzuzu na mara nyingi natumia jiko la oven. Sasa siku moja nikaongeza na jibini katika hizo ndizi; na kwa vile zilikuwa nzuri sana ndipo nikaamuka kuweka katika maandishi.

Ndizi za mtu 1 

MAHITA 

  • Ndizi mzuzu 2 ( zilizoiva kiasi) 
  • Jibini ( Mozarella Cheese) kiasi kidogo 
  • Giligilani fungu la kutosha mkono 
  • Olive oil kijiko 1 cha mezani 
  • Chumvi 1/2 cha chai 
  • Pilipili kidogo ( sio lazima) 

JINSI Y AKUPIKA 

  1. Pasha jiko lako moto kwa ajili ya kuchoma ndizi - Zimenye na kuzichoma. Zikiwa zinaiva ndio muda wa kuandaa salad yako ndogo.
  2. Changanya giligilani iliyokatwa katwa, mafuta, chumvi na pilipili kisha ziweke kando.
  3. Ndizi zikiwa zimeiva pasua katikati na weka ile jibini kisha rudisha katika moto kuruhusu ile jibini kuyeyuka kidogo.
  4. Baada ya kuyeyuka jibini toa katika moto na nyunyuzia hiyo salad na hapo ni tayari kwa kula ndizi tamu na zenye jibini. Furahia.

No comments:

Post a Comment

@chefkile